Changia Markaz Imamul Muzaniy

بسم الله الرحمن الرحيم

MAENDELEO YA IMAAMUL MUZANIY.

UNUNUZI WA NYUMBA NA KUIPANUA MARKAZ PAMOJA NA MADRSAH.

Changia uendeshaji wa maendeleo ya Markazil Imamul Muzaniy.
Lengo Letu la sasa: Kununua nyumba kwa ajili ya upanuzi wa Markazi na madasa ya kusomea watoto Qur’an nk.

Pesa inayohitajika kwa sasa, ni hela za Kitanzania Tshs Milioni Sitini 60,000,000/=

CHANGIA KUPITIA:

AMANA BANK

NAMBA YA AKAUNTI: 001140486920001
JINA:  IMAMUL MUZANIY FOUNDATION.
Airtel money: 0689546152
M-pesa:  0752809553
Kwa Maelezo zaidi, wasiliana na Sheikh Abdul-raufu Abdallah kupitia 
0688745131,  0628993212